Toni Braxton
Mwanamuziki huyu amethibitisha tetesi zilizokuwa mtaani kuwa amelazwa hospitali kupitia mitandao ya facebook na tweeter.
Toni amesema :
"Just a lupus flare up, but I promise you all I am ok! Love you all! Thanks so much for all of your support! Xoxoxoxoxo :)"
Tidak ada komentar:
Posting Komentar