Jumat, 13 Januari 2012

KANYE IN U.K


Kanye West

Msanii huyu inasemekana yupo studio nchini Uingereza akiwa anarekodi album mpya.Wasanii mbalimbali wa G.O.O.D Music wametua nchini humo hivi karibuni kumuunga mkono Kanye wakiwemo  Pusha T,Big Sean na producer Hit Boy.



Pusha T


Hit Boy


Big Sean

Tidak ada komentar:

Posting Komentar