Rabu, 18 Januari 2012

2012 TANZANIAN CULTURAL EXHIBITION @ ACHARYA INSTITUTES

Mandhari ya eneo lililotumika kwa maonyesho 




Kikundi cha ngoma kiliwakilisha vizuri kwa kucheza ngoma mbalimbali za asili ya Kitanzania


Wageni rasmi wakizungushwa kwenye vituo mbalimbali vya maonyesho











Baadhi ya wageni rasmi wakizungumza baada ya kushuhudia kwa macho yao "Performance" balaa 
ya wana-ngoma pamoja na kuelezewa vitu mbalimbali vya tamaduni ya KITANZANIA!





The Exhibition was Super-Superb! Not the 1 to miss for sure!

Tidak ada komentar:

Posting Komentar