Oi,embu nifunge hapa fasta kabla wale madada hawajaja!
Jamani wanaanza saa ngapi?! Me can't wait!
Oh!! Kumbe just 5 minutes to go,Hihi!
Vijana wa Tasaa wakiandaa "Intro Table"
Vijana wa iBangTV nao walikuwepo wakiwakilisha kama kawa
(Click the link to visit them: iBangTv)
The West meets AFRICA!
Intro Table shapin up!
Fasta-Fasta mwana!
Mr.danydarcity & Filbert
Hiki kitenge tukiweke hapa juu eeh?!
Say Cheeeeeeeeeese!
Vijana wa Pwani
Sheikh Suleiman (Most Wanted) & Josh
Tidak ada komentar:
Posting Komentar