MVP
Vijana hawa watatu wanaojiita MVP waliopo kwenye kipindi (Reality TV Show) cha Jersey Shore kinachoonyeshwa kwenye stesheni mbalimbali za TV ulimwenguni kote wamempoteza mmoja wao,Vinny (aliye katikati) aliyeondoka kurudi nyumbani kwao Staten Island hivi karibuni akidai kuwa "he has clinical anxiety and he has just been dwelling on his problems, and that his environment really isn't helping".
Japokuwa Paulie (wa kulia) alimuomba sana Vinny abaki,Vinny alikataa na mwisho kuita taxi ambayo ilikuja kumchukua mara moja.
Vinny
Tidak ada komentar:
Posting Komentar