The BIG night has bee stretched to Sunday (December 25).
Usiku wa Jumapili hii ndio wale wakali wa miondoko ya Bongo Flavour Juma Nature,Quick Rocka na Mwasiti watakapo washa moto wa Christmas palepale kwenye jengo la maraha Chairman's Club & Resort.
Viingilio : Gents - Rs.500
Ladies - Rs.400
Hakikisha unapata tiketi yako haraka iwezekanavyo.
Usikubali kuadithiwa!
Njoo mwenyewe ujionee kitu kwa Stage .... LIVE!! Haha!
Juma Nature
Read the Cap haha!
Mwasiti akiwa kazini
Nature akiwa na Mwasiti kitaa
Tidak ada komentar:
Posting Komentar